Mkuu safi sana kwa kuliona hilo jambo, isiishie hapa tu katika jukwaa la MMU inabidi muwe makini kumulika post kabla ya kuwekwa jamvini. Mfano mzuri ni katika jukwaa la siasa kuna post ambazo zinawekwa makusudi na watu fulani ambao wanajulikana kwa majina na kila siku hao utupia post zenye muonekano wa kusambaza chuki za kidini matokeo yake mnatupiga BAN watu tusio na hatia kwa kuchangia maneno machafu kwenye post chafu lakini kama mngekuwa mnazi-filter mapema watu wangekuwa wanakwepa BAN zisizo na ulazima. Ubarikiwe mkuu!!