thanx alot!
thanx alot!
MMAHE pole sana,Mwenyezi Mungu akualie afya njemaa.
inabidi tuanze kupambana na mazalia ya mmbu ndio njia ya kuitokomeza hiii maleria inatutesa mmno
ok tushukuru Mungu nikuletee juice gani.
Cerels (apple)
poa ngoja nikaikamue matunda mengi siku hizi hakuna haja ya kutumia artificial
hahahaaa haya bana naisubiri jitahidi basi uwahi.