Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,444
- 289,731
- Thread starter
- #41
Ngoja tuone
Mbunge wako anaishi wapi?Mbowe kwao anakoishi muda mrefu ni Dar es salaam
Machame huwa anaenda kuzuga tu kugombania ubunge
Wamachame nao bongolala wanaacha kuchagua mkazi wa kupumu wa machame wanachagua mkaa Dar es salaam. Eti anarudi kwao acheni usanii
Noma sana !19 March 2022
Kilimanjaro intl Airport KIA
Tanzania
Source : Global TV online
Mbowe kwao anakoishi muda mrefu ni Dar es salaam
Machame huwa anaenda kuzuga tu kugombania ubunge
Wamachame nao bongolala wanaacha kuchagua mkazi wa kupumu wa machame wanachagua mkaa Dar es salaam. Eti anarudi kwao acheni usanii
Kwani umelazimishwa?Siwezi kupoteza bando langu kusikiliza porojo za kila siku
Chadema mnatakiwa kubadilika kama mnataka madaraka.
Afadhali ya Chedema. Nyie mmeibadilisha Nchi ya Tanzania kwa Wananchi wake kuwa maskini for the past 60yrsSiwezi kupoteza bando langu kusikiliza porojo za kila siku
Chadema mnatakiwa kubadilika kama mnataka madaraka.
Kamanda Mbowe Kuna anawaza ubunge? Mpango wa kuchukua nchi umeishia wapi?Alishindwa sabaya wao wataweza.
Wote waliopambana na Mbowe leo chali Mbowe anarudi bungeni 2025 bila uwepo wa jiwe,sabaya, makonda,kange, ndugai,siro akiwa amestaafu.
Waliotaka upinzani ufe wamekufa wao.
Kumenoga huko moshiHii ndio Taarifa mpya iliyotufikia kutoka kwenye Chama Chake , unachotakiwa kufanya ni kuunga bando kwenye Device yako in order to Stay in touch .
Juhudi za kupata kituo cha TV kitakachorusha moja kwa moja Mapokezi hayo ya kihistoria zinaendelea .
Ni vema wale mamluki wanaovumisha Uchawi kwenye mapokezi hayo mazito , wajipange kwa dawa za maumivu na Presha .
View attachment 2155975