Taarifa: Mapokezi ya Freeman Mbowe huko Hai yatakuwa Live

Mbowe kwao anakoishi muda mrefu ni Dar es salaam

Machame huwa anaenda kuzuga tu kugombania ubunge

Wamachame nao bongolala wanaacha kuchagua mkazi wa kupumu wa machame wanachagua mkaa Dar es salaam. Eti anarudi kwao acheni usanii
Mwinyi alizaliwa na kukulia bara,akawa mbunge wa Mkuranga na sasa hivi ni Rais wa Zanzibar.Hauna haki ya kuwatukana Watanzania waishio Machame hasa kwa kujiandaa kumpokea ndugu yao au kumchagua kuwa mwakilishi/kiongozi wao bila kujalisha anaishi wapi hapa Tanzania.
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia kutoka kwenye Chama Chake , unachotakiwa kufanya ni kuunga bando kwenye Device yako in order to Stay in touch .

Juhudi za kupata kituo cha TV kitakachorusha moja kwa moja Mapokezi hayo ya kihistoria zinaendelea .

Ni vema wale mamluki wanaovumisha Uchawi kwenye mapokezi hayo mazito , wajipange kwa dawa za maumivu na Presha .

View attachment 2155975

Habari mbaya sana hii kwa ambao haki na ustaarabu ni adui yao mkubwa:

Zifanywe siasa za Haki, Haki huleta Amani na Amani huleta Upendo
 
Mbowe kwao anakoishi muda mrefu ni Dar es salaam

Machame huwa anaenda kuzuga tu kugombania ubunge

Wamachame nao bongolala wanaacha kuchagua mkazi wa kupumu wa machame wanachagua mkaa Dar es salaam. Eti anarudi kwao acheni usanii
Kwani Mbowe ni mbunge?
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia kutoka kwenye Chama Chake , unachotakiwa kufanya ni kuunga bando kwenye Device yako in order to Stay in touch .

Juhudi za kupata kituo cha TV kitakachorusha moja kwa moja Mapokezi hayo ya kihistoria zinaendelea .

Ni vema wale mamluki wanaovumisha Uchawi kwenye mapokezi hayo mazito , wajipange kwa dawa za maumivu na Presha .

View attachment 2155975

Taarifa: Mapokezi ya Freeman Mbowe huko Hai yatakuwa Live. Mbunge wa Hai , Saashisha mafue tunakuomba uwepo kwenye mapokezi hayo ili ujionee siasa za kisanyansi na hali ya kisiasa ilivyo wilaya ya Hai.​

Ulipeleka bilion 1.5 za barabara kata moja ya narumu sasa mavuno yake utayavuna.​

Hizi Pesa zimeliwa na barabara hakuna wananchi wanalalamika ubovu wa barabara sana huko Narumu
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia kutoka kwenye Chama Chake , unachotakiwa kufanya ni kuunga bando kwenye Device yako in order to Stay in touch .

Juhudi za kupata kituo cha TV kitakachorusha moja kwa moja Mapokezi hayo ya kihistoria zinaendelea .

Ni vema wale mamluki wanaovumisha Uchawi kwenye mapokezi hayo mazito , wajipange kwa dawa za maumivu na Presha .

View attachment 2155975
Kijakazi wa Mbowe unahangaika sana.
 
Kijakazi wa Mbowe unahangaika sana.
kimenuka !
Tukutane_KIA_airtport_Kilimanjaro_mapokezi_ya_Kaka_Mkubwa_Freeman_Mbowe!.jpg
 
kutoka Arusha , Coaster 8 , magari binafsi 14 , pikipiki 44 zimeingia Moshi

Arusha__Mkoa_mzima_jumla_ni_costa_nane_magari_private_14_pikipi_44_hii_ndio_chugamaica_bwaaaaa...jpg
 
Back
Top Bottom