Taarifa kwa waombaji wa mikopo kuhusu kumalizika kwa zoezi la kurekebisha taarifa za waombaji

Sep 13, 2016
41
16
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imekamilisha zoezi la kurekebisha fomu za maombi ya mikopo kwa waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2016/2017. Zoezi hilo lilianza tarehe 3 na kumalizika tarehe 7 Oktoba 2016.

Kwa sasa Bodi inaendelea na hatua za awali za upangaji wa mikopo ambapo taarifa za wanafunzi watakaopangiwa mikopo zitatolewa kwenye tovuti ya Bodi www.heslb.go.tz siku chache zijazo.

NB: Bodi inawakumbusha waombaji mikopo wote kuwa makini na watu wasio waaminifu wanaoweza kutumia fursa hii kujipatia fedha isivyo halali.

Imetolewa na:
Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano,
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU
 
dah hzi thread znachosha sasa
 
kabla ya kutuma angalia mwenzako alietuma
 
fn bt ha2jaenda chuo kisa mkopo haujatoka xo plz 2naomba mtoe mapema ili 2weze kufanya usajiri... # @
 
Back
Top Bottom