Dogo harakati zimekufa, juzikati umeme umekatika mnaenda kuziba barabara badala ya kwenda Tanesco, Kisanko ni CCM damu anatumika na Council kuwakandamiza, sidhani kama First year wanaijua hata rev square ilipo, Kunji Limeishia 2012 semister ya Pili, hakuna legacy ilobaki zaidi ya Cowards and Puppets.