Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 12,296 Reaction score 18,159 Oct 12, 2026 #3 Chadema kinalitaka Jeshi la Mgaereza na Serikali haramu na dhalimu kujibu swali Click to expand... hii ni comedy
Chadema kinalitaka Jeshi la Mgaereza na Serikali haramu na dhalimu kujibu swali Click to expand... hii ni comedy
jmushi1 Platinum Member Joined Nov 2, 2007 Posts 26,543 Reaction score 25,840 Oct 12, 2026 #4 Magesi said: View attachment 3688977 Click to expand... Kwa kawaida ni lazima wanaokuja kusalisha wapate kibali cha Kamishna wa magereza kabla ya kumuona mfungwa? Utaratibu ukoje? Je huwa wanapata faragha wakati wa kusali au kunakuwepo ofisa wa magereza?
Magesi said: View attachment 3688977 Click to expand... Kwa kawaida ni lazima wanaokuja kusalisha wapate kibali cha Kamishna wa magereza kabla ya kumuona mfungwa? Utaratibu ukoje? Je huwa wanapata faragha wakati wa kusali au kunakuwepo ofisa wa magereza?
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,496 Reaction score 138,358 Oct 12, 2026 #5 Magereza hawajifunzi tu.