Taarifa kwa Umma

Taarifa kwa Umma

Just by norm..

Kichaa na mjinga hawatakiwi kupewa uhuru usio na mipaka kwa sababu hawana akili ya busara.
Pole sana.
Mawazo ya namna hii hayana tofauti na hao unaowaita "vichaa"; inawezekana hujui maana ya neno 'mjinga' unavyolitumia hapa. Inaonyesha dhahiri dhana unayoitetea ikawa ndiyo ya kijinga kabisa.
 
Hakuna uhuru usio na mipaka na hasa Kwa wajinga.
 
Hii awamu ya mangumbalu inapenda asifiwe tu.wakiambiwa ukweli wanafungia vyombo vya habari.kila mtu anauhuru wa kutoa maoni.
 
Aina za madikteta katika zama za Sasa.
* Wanaofoka na kukaripia watu hadharani huku wakifanya ya udikteta
*Wanaoongea kwa upole na lugha laini huku wakifanya ya udikteta
Sukuma gang wanakomeshwa
 
Back
Top Bottom