KIGILAGILA
Senior Member
- Aug 5, 2013
- 164
- 38
Nimesona gazeti la leo Mwananchi taarifa kwa Umma Kuhusu vyeti vya Kughushi VETA na majina yao yametolewa.
Kwa kweli inasikitisha na ndio maana kazi zinakua adimu ndugu zetu hawapati kazi ukiangalia hapo ni VETA tu lundo wamefoji je Vyuo vingine duh inabidi serikali wachukulie hili ni janga waliekee mikakati dhabiti la sivyo ambao awajasoma watakuwa makazini na waliosoma wapo mitaani na ndio maana hatuendelea hakuna ufanisi.
nawapongeza Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya ufundi Stadi VETA kwa kufichua uozo huo.