Mkuu inawezekana kudhulumiana, lakini jamaa katoa taarifa muhimu wala hakuna wivu hapa.Naona rangi ya kudhulumiana, pia naona rangi ya wivu ndani ya huu uzi.
Sema tu hujamwelewa.Hakuharibu mada!si vema kuharibu mada mkuu tutumie majukwaa haya kujenga sorry lakini.
Nyanje tofautisha wizi na tuhuma
kaz ya polisi ni ngumu kwa askar wa chini. unamkamata mhalifu na kumweka lockup kesho unakuta hayupo na hata karatasi ya dhamana haipo....halafu ww unapewa hilo jalada kupeleleza
Hao wapo busy saiz kufunika wezi wa fedha za escrow wasipate haki zao.Kama umeweza kusoma wewe kwanini ashindwe waziri wa mambo ya ndani ya nchi,IGP,kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma si itakuwa maajabu na zaidi katiba ya nchi ina ibara inayosema katika kutoa taarifa hakuna mipaka.
kiraza ni kiraza tu siku zote Babako!!
div 5 at work!
Kufa c mwiko umenifanya nitabasam hapa nyuma ya keyboard.
Let me tells yoou long short. Im the old school and those time hatukua na hizo kitu mnaita division 5
chamsingi welete hoja tu
Bila shaka wala sihitaji shahada ya chuo kikuu kugundua mtoa mada ni polisi na amedhulumiwa pesa ya rushwa ndiyo maana povu linamtoka lakini angekuwa kapewa japo buku tano tusingeona hiyo post sasa kwa ushauri acha umbeya maana hutapata msaada humu jf mara utakapofahamika ndiyo wewe uliyeweka hii post ile mijamaa itakupeleka kijijini hasa kusikokuwa na network ili ushindwe kuingia jf.pole kwa kudhulumiwa si unajua tena kwenye majeshi mwenye cheo ndiyo mwenye akili.teh teh teh aaaaaa.
Mkuu sasa hivi kila mmoja anakula kwa urefu Wa kamba yake! Kama Wewe kamba yako ni fupi wacha ufe njaa! Kama ungekuwa na uchungu ungekubali tuchezewe hivyo na hawa majizi ya escrow?
ulichosema ni sahihi na ni kweli.
Tatizo haki, wajibu na taratibu zinakiukwa. 2fanyeje.