Alexism
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 3,423
- 2,046
Kwaheshima na unyenyekevu wa kiwango cha juu shikamoo rais....Bila shaka unaendelea vizuri na majukumu yako ya kiofisi na kifamilia. Mh.Rais naomba nikupe taarifa kua uliyotuagiza na kuyataka yawe nchini tayari yameisha timia kwa aslimia 100% labda sasa utuagize mengine.
Yaliyofanikiwa ni kama ifuatavyo
1.Kusaga na kulima kwa meno
2.Kuisoma namba
3.Kutetemeka kujenga nyumba zetu baada ya tetemeko
4.Kila mtu kubeba mzigo wake
5.Kuishi kama mashetani
6.Kukauka hela mifukoni
7.Kuacha kutekereza haki yetu ya kikatiba ya mikutano ya kisiasa
8.Kufyatua maana elimu ni bure
MH.Rais kwakua haya yote yamefanikiwa vizuri tu...basi ni muda muafaka wa kuagiza
mengine ili nayo yatekelezwe kwa aslimia zote.Ahsante mkuu wetu ila tunakusubiri