Tafadhali naomba maelezo kuhusu chainsaw,kwa wale wanaofahamu.
Je bei za Chainsaw zikoje?
Ni brand gani ambazo zinafanya kazi vizuri na kwa ufanisi?
Huwa zinatumia mafuta kiasi gani kwa saa on average?
Je kuna kodi zozote au vibali unavyotakiwa kuwa navyo ili kuweza ku-operate hizi mashine?
ahsanteni