Taarifa kuhusu Ajira ya M&E officer BMAF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa kuhusu Ajira ya M&E officer BMAF

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Tafakuru, Feb 6, 2012.

 1. T

  Tafakuru Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Wadau wenzangu, Benjamini Mkapa Aids Foundation (BMAF) walitoa nafasi za kazi mwishoni mwa mwezi wa 12 kwa post ya M&E Officer. Naomba kama kuna mwenye taarifa yeyote au ata kuna mmoja wetu aliitwa interview tupeane taarifa.
  Karibu sana
   
Loading...