TAARIFA: Kipindi maalum cha Makala ya ziara ya Rais Magufuli nje ya Afrika Mashariki

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
875
960
TAARIFA!!!!! TAARIFA!!!!!
Usikose kutazama kipindi maalum cha Makala ya Rais ambacho kinakuletea ziara ya kwanza ya Rais Magufuli nje ya Afrika Mashariki.

Ni alipohudhuria kwa mara ya kwanza mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika Mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.

Kipindi hiki kinarushwa usiku huu kuanzia saa tatu kamili kupitia TBC 1 na Clouds TV na pia kitarushwa na Televisheni zingine kwa muda utakaotajwa baadaye na vituo hivyo.

Fuatilia ujue nini Rais Magufuli amekifanya katika Mkutano huu muhimu barani Afrika.
 
Back
Top Bottom