Taarifa: Katizo la umeme mikoa mitatu kwa siku mbili

Taarifa: Katizo la umeme mikoa mitatu kwa siku mbili

Casuist

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2014
Posts
1,189
Reaction score
2,971
Shirika la umeme nchini limetangaza katizo la umeme kwa mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Pembaa kwa siku mbili.

Katizo hili litakuwa tarehe 26 na 27 September 2015 saa moja kamili asubuhi mpaka 12 jioni. Sababu ni kufanya marekebisho makubwa kituo cha Njiro na KIA.

Last edited by a moderator:
Yani baada ya uchaguzi kutakua na mgao mkubwa shirika limefilisika
 
Mbona hata huku Mbezi beach wamekata hao washenzi.......

Halafu kuna watu wanaamini kweli eti mgao utakuwa historia.......
 
Hata huku Mtwara hatuna umeme tangu mbili asubuhi, tena bila taarifa rasmi.
 
Mbona city centre hakuna umeme? Hii nayo sehemu ya Tanga? Kilimanjaro na Arusha? Huu ni mgawa waache longolongo
 
Mbona hata huku Mbezi beach wamekata hao washenzi.......

Halafu kuna watu wanaamini kweli eti mgao utakuwa historia.......

Hii ndiyo Bongo. Nami nipo Mbezi hii tena karibia na hao wanaojiita "vigogo" wanaungurumisha jenereta toka asubuhi. Hasara ya kukatika umeme ni kubwa sana kwa sababu fedha za mafuta Serikali inalipia!!

Hii ni zaidi ya hujuma kwa Taifa.
 
Shirika la umeme nchini limetangaza katizo la umeme kwa mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Pembaa kwa siku mbili.

Katizo hili litakuwa tarehe 26 na 27 September 2015 saa moja kamili asubuhi mpaka 12 jioni. Sababu ni kufanya marekebisho makubwa kituo cha Njiro na KIA.

Au kwasababu lowassa yupo huko???
 
Last edited by a moderator:
Kilosa tushazoea mwez wa 3 umeme shida
 
Baada ya Lowasa kuanza kampeni kaskazin na mgao umehamia huko
 
Alafu limtu linakwambia hapa kazi tuu....fisiemuu inashabikiwa na wazee, wasio soma na wenye maslahi....nnje na hapo lazima utakuwa zuzu na elimu yako ya chuo kuishabikia fisiemuu
 
Back
Top Bottom