Taarifa hizi ni za kweli kuhusu HESLB?

oldd vampire

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
253
51
kuna mwanachuo mwenzangu kanipa taarifa kua bodi wametoa majina leo katika gazeti la daily news..na wametoa na majina ya wanafunzi ambao hawaku cmfirm OLAS alafu deadline tar 2 oct..nimejaribu kuangalia katika website yao cjaona hiki ki2..sas kama kuna anae jua hizi taarifa anifahamishe
 
NIMIMI

Senior Member
Apr 2, 2011
170
16
Eleweka uzuri. Maana kwenye website ya Bodi ya mikopo kuna majina ya waliopata na kukosa mikopo na sababu za kukosa na zinafunguka uzuri au sema taarifa zako uangaliwe na sina uhakika na gazeti na yaliyomo pia.
 
oldd vampire

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
253
51
yani kwa wale continuing students..si tuliambiwa tu apply on line?sasa wanasema sio wote walio comfirm..na wametoa majina ya hao wanafunzi..but nimesikia tuu mi mwenyewe sina hakika
 
Lepapalongo

Member
Jan 28, 2009
92
11
Nami nimepata taarifa híi sasa jamaa kanipigia cm anasema kwenye gazeti la guardin la tarehe 2 mwez huu.Sasa cjuwi ndo hv na 2tapata wapi gazeti hzo! Salale! Walahi!
 
stan b

Member
Sep 8, 2011
85
10
hongeren sana heslb, naomba wana JF 2wapgie makof, hakika wamefanya kaz nzur ya kumwonyesha kila aliyekosa mkopo sabab za kukosa kwake, hii itasaidia sana watu kupata hak zao kwa ushahid, hasa lile kundi la PREVIOUS LOANEES, hapa inaonekana kuna wa2 walisha befit mkopo kuptia majina ya wa2 wengne, NAIOMBA HESLB IWABAINI WA2 HAO NA HATUA KALI ZICHUKULIWE JUU YAO. Na kama ni m2 amebainika kuomba mkop mar ya 2 pia akamatwe maana huo ni UHUJUMU .
 
Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,037
1,828

<br />
<br />
cdhan ka hzo taarifa ni za kwel,kuna dogo mwaka jana walimpa mkopo 0% akashndwa kuendelea na chuo pale udsm,mwaka huu kaaply tena wanamuambia ameish benefit mkopo,kivip sasa?loans board,be serious wajamen.
 
SURN

JF-Expert Member
Sep 5, 2011
319
36
je wale waliokosa coz of uhaba wa fedha wapo ktk nafas ipi?au ndo wametupwa moja kwa moja
 
stan b

Member
Sep 8, 2011
85
10
nlkua pale bod leo hakuna m2 alyepewa jb zuri ktk makund yote, kila m2 alieleza shda yake lkn mwisho wakuambia bajet imekwisha hata kama watarekebisha tatizo la fom zako. kesho kuna mkutano pale wizarani saa 6.
 
N2nde

Member
Sep 2, 2011
21
1
ni bora waturekebshie hayo matatzo ya fom zetu ili tuwe na uhakka wa kuingia vyuon na kupata mkopo
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom