Taarifa hii kuhusu sakata la Lugumi unaichukuliaje?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,711
149,960
Ripoti ya sakata la mkataba wa Kampuni ya Lugumi Enteprises na Polisi, ambayo ilikuwa iwasilishwe kwenye mkutano unaoendelea wa Bunge, sasa itawasilishwa mkutano ujao.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Hilary Aeshi alisema ripoti hiyo itaunganishwa katika taarifa za kamati ambazo kwa utaratibu huwasilishwa kwenye mkutano huo.

Hadi wakati Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akifanya ukaguzi wa mkataba huo wa Sh37 bilioni uliosainiwa mwaka 2013, ni vituo 14 tu vilivyokuwa vimefungwa mashine hizo, lakini mzabuni alishalipwa Sh36 bilioni.

Chanzo:Mwananchi online
 
Back
Top Bottom