Nikiwa kama rais wa mabachela(single) na waziri wangu mkuu tinna cute tunatangaza kuwa sisi hatutakua na valentine day kabisa,kufeli kufuata maagizo hayo utakua umejiondoa.
ANGALIZO:mlio na wake zenu na wachumba fanyeni yenu mnayoona yanafaa
Sam Love and tinna cute
single Sam Love +single tinna cute = happy couple
Nikiwa kama rais wa mabachela(single) na waziri wangu mkuu tinna cute tunatangaza kuwa sisi hatutakua na valentine day kabisa,kufeli kufuata maagizo hayo utakua umejiondoa.
ANGALIZO:mlio na wake zenu na wachumba fanyeni yenu mnayoona yanafaa
Sam Love and tinna cute
Baby I miss you now....
baby ake unafanya nini nje saa izi? hebu rudi home fasta kama sijakinukisha
Nsharudi baby ake....