Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Mar 8, 2020 2,209 4,706 Jun 12, 2021 #1 Wadau wa JF Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Philip Isdor Mpango leo Juni 13, 2021 amehutubu kwenye Hafla ya Nne ya Ufunguzi wa Mtandao wa Sala na Maombi ya Kitaifa na Kimataifa katika Ukumbi wa Morena Jijini Dodoma
Wadau wa JF Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Philip Isdor Mpango leo Juni 13, 2021 amehutubu kwenye Hafla ya Nne ya Ufunguzi wa Mtandao wa Sala na Maombi ya Kitaifa na Kimataifa katika Ukumbi wa Morena Jijini Dodoma
ndege JOHN JF-Expert Member Aug 5, 2015 19,579 44,821 Jun 12, 2021 #2 Hio hafla imeandaliwa na taasisi gani?
Hajto JF-Expert Member Sep 30, 2013 5,595 5,485 Jun 12, 2021 #3 hadi maombi ya dua kwa Mungu yanafunguliwa na serikali,Mbona kama hainiingii akilini