Taarifa: Dkt Mpango Ahutubia Ufinguzi Wa Mtandao Wa Sala Na Maombi Ya Kitaifa Na Kimataifa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,156
4,510
Wadau wa JF

Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Philip Isdor Mpango leo Juni 13, 2021 amehutubu kwenye Hafla ya Nne ya Ufunguzi wa Mtandao wa Sala na Maombi ya Kitaifa na Kimataifa katika Ukumbi wa Morena Jijini Dodoma
 
hadi maombi ya dua kwa Mungu yanafunguliwa na serikali,Mbona kama hainiingii akilini
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom