Taarifa: ATCL Wazindua Ukumbi wa Kisasa Uliopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,208
4,705
Taarifa: ATCL Wazindua Ukumbi wa Kisasa Uliopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Leonard Chamlilo leo Mei 21, 2021 amezindua rasmi Ukumbi wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) Twiga Business Lounge" ambao upo kwenye Jengo la 3 la abiria Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Hongera Mama Samia Suluhu Hassani

Matumizi Sahihi ya Rasilimali Zetu Huleta Matokeo Chanya Kwa Walio Wengi

Kazi iendelee
 
Maukumbi ya nini tena. Yaani kuna viongozi wetu akili zao sifuri kbs. Bora hata wangezindua hotel ya nyota 5 hapo uwanjani. Ndio maajabu mengine. Ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere hauna hotel fikiria jengo lote lile wameshindwa kabisa kuwaza hata kuweka vyumba 50 tu vya kulala.
 
Ndo mawazo Kama haya yanatakiwa kutumiwa na mawaziri Ili watuletee tija kwenye nchi watu wapate sehemu za kuingiza vipato na huduma zingine kwa ufanisi na haraka, kile kimugahawa chao Kama chumba cha mamantilie kwa kweli hapana.
 
Ndugu sisi mawazo yetu sijui tunawaza nini. Unaweka ukumbi hapo wa nini.
 
Back
Top Bottom