taarifa ajira bima ya afya!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

taarifa ajira bima ya afya!!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by aikaruwa1983, Dec 12, 2011.

 1. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,362
  Likes Received: 1,187
  Trophy Points: 280
  habari wana jf......mm msaka ajira nilibahatika kwa mara ya kwanza baada ya kukaa miaka miwili home after graduu. kuitwa kwenye usaili bima ya afya na post ilikuwa "temporary employment" na pepa yenyewe ilikuwa nyanya kama si masalo......ss naona kimya if kuna mwenye taarifa kama vijana wameshaitwa kuanza kazi niambieni maana haya matumaini niliyonayo niyaondoe coz mwaka unakatika huuu.......plz mwenye info ani
   
 2. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Waswahili wanasema UKIONA MANYOYA UJUE KALIWA"
   
Loading...