Taaluma yako

Taaluma yako

katabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2011
Posts
309
Reaction score
42
Utakuwa unaota kama unasubiri kutambuliwa na kuheshimiwa (kwa mawazo unayotoa au mchango wako) kwa kuzingatia proffessional yako hasa ukiwa mtumishi wa umma!!!!! Sana wewe tetea ugali wako tu kwa kufanya vile watakavyo wenye dhamana na ajira yako. Yaani wafurahishe wakubwa ili watoto wako wapishane chooni.
 
Hakuna mkuu!! Nilikuwa nawaza tu! ! Hasa yule mother mtafiti aliyetumbuliwa!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom