Ndondombi Mulin
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 572
- 2,504
Hakuna hio Ruksa kwa Mwanaume. Vigezo na Masharti lazima vizingatiwe.sasa tukubaliane kwenye faragha zetu ni ruksa kushikwa popote Ili mradi tu najisikia vizuri kufanya hivyo
Kwaiyo unatak kushika kalio ..😅Mapenz ni starehe Wala siyo ugomvi.....na unapoenda kuonana na mwenzio unajua kabisa waenda kustarehe.....sasa tukubaliane kwenye faragha zetu ni ruksa kushikwa popote Ili mradi tu najisikia vizuri kufanya hivyo
I mean tusipangiane pa kushika... wanawake wastaarabu kidogo hawana Ubishi mwingiii....nyie wanaume mmenielewa? Nauliza mmenielewa?
NB:Likizo ndo imeanza msiponipa Kaz ya kufanya hakika mie siku njema wapendwa😘😉
Nimependa mazungumzo Yao....her back😘Njoo hapa tujaribu kwa vitendo..
View attachment 2644600
Sasa unataka ushike hayo yanini?Wamekujibia wenzio mbona
Sasa tukipashika shika hapo si ndio kuzuriNimependa mazungumzo Yao....her back😘
Sema fresh huenda ndo account yako ukilewaga🤣🤣🤣🤣🤣hii jf ni zaidi ya tuijuavyo mda mwngnNamwangalia tu😉
Uliwahi kumshika mwamba, reaction yake ilikuwaje?.Yanaongeza hamu kimtindo
Wengine hawatoi ushirikianoYeah,na ndo mapenzi yenyewe
imeanza mapema mnoo,, ciccy unataka uwe unashika shika nini😃😃😃🤣🤣🤣🤣 Yaan daah