Taa za barabarani

KUNANI PALE TGA

Senior Member
Feb 6, 2009
138
7
wakulu habari za siku nyingi.
jiji letu la tanga sasa hivi imebahatika kupata taa za barabarani,hapo lazima tumshukuru mungu,japo ni ni kazi nusu imefanyika.lakini cha ajabu ni ukiona taa zile haziwaki kabisa au zikiwaka ni nguzo za kuhesabu.sasa miye najiuliza hivi taa zile ni za show,au ni nini?naomba nipewewe details kama mtu anazo.asanteni.
 
Tena nimesikia kuwa zilianza kuwashwa baada ya mkuu wa mkoa kumuuliza meya ni kwa nini taa zilikuwa haziwaki. Ndio kesho yake tu zikaanza kuwaka. Na hizo zilizobaki sijui zawashwa lini. Au labda ugeni mkuu ukiamua kutembelea, tena wafike usiku basi ni lazima zitawashwa.
 
jitu para we acha tu,miafrika ndivyo tulivyo,yaani kuweka hizo taa tu ilichukua zaidi ya mwaka mmoja,na naona pia humo kuna dili imechezwa.ukienda njia ya bombo hospitali usi seme,yaani kiza kwenda mbele,afadhali tu wasinge weka hizo taa,yaani ni show tu ambayo sis hatuitambui.
 
Back
Top Bottom