V Vicent Chipasula New Member Joined Jun 20, 2025 Posts 2 Reaction score 2 Jun 5, 2026 #1 Naomba ufafanuzi kwanini taa za barabarani za kuongozea magari na vyombo vingine vya usafiri njia ya Gerezani-Mbagala hazitumiki na wakato huohup mradi wa ujenzi wa mwendokasi umekamilika.
Naomba ufafanuzi kwanini taa za barabarani za kuongozea magari na vyombo vingine vya usafiri njia ya Gerezani-Mbagala hazitumiki na wakato huohup mradi wa ujenzi wa mwendokasi umekamilika.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,263 Reaction score 177,481 Jun 6, 2026 #2 Wewe umelewa , mbona zinamulikaš¤«