Taa ya mwanga wa jua kupitia chupa!

Taa ya mwanga wa jua kupitia chupa!

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,932
Kwa wale ambao wanahitaji mwanga mchana kwa sbabu nyumba/kibanda hakina madirisha, kuna namna rahisi ya kupata mwanga wa jua kwa kutumia chupa ya plastiki iliyojazwa maji. Chupa hii ikiwekwa darini, hugeuka taa nzuri yenye mwanga mkali.

Angalizo: Mwanga huo hupatikana mchana tu wakati wa jua.

[video=youtube_share;rYTIYUUK70I]http://youtu.be/rYTIYUUK70I[/video]
 
samahani mkuu, marekebisho kidogo...
Hiyo chupa inawekwa maji na chemical fulani(siikumbuki fresh kwa jina). Alaf unatoboa tundu dogo ambalo hiyo chupa inaweza kupita juu ktk hilo bati. Ule mwanga wa jua ukiimulika ile chupa, ule mchanganyiko wa maji na hiyo chemical una ''glow'' na kuproduce mwanga.
Na sio mchana tu, bali hata usiku kama kuna mwanga wa kutosha wa mbalamwezi.
Hii ilioneshwa na CNN ilipokuwa inaripoti kuhusu slums za nigeria ambazo baadhi ya vijana wake wanatengeneza hii, na wakasema kuwa waliitoa you tube. Yaani hao vijana walicopy hiyo technique kutoka youtube na wakaitumia kwenye slums zao.
Ni hayo tu!!
 
Changanya maji na wino wa zile marker pen za ku highlight.za rangi ya njano hivi.
---Believdat---
 
Kemikali iliyoingizwa ni chlorine [blichi], ambayo kazi yake ni kuzuwia maji kufanya ukungu
 
Back
Top Bottom