Mkuu mbona taa yako siyo ya ajabu kabisa! Zipo taa zenye muundo kama huo kule kigoma kwenye maduka yanayouza vifaa vya solar. Taa hizo zinaunganishwa na ka-solar pannel kadogo ambako unakaweka kwenye jua ili kuchaji betri yake. Taa hiyo ina sehemu ya kuchaji simu pia. Kitu cha ajabu pengine ni bei ya taa hiyo kule kigoma kuwa sh.50,000/-, badala ya sh.30,000/-