Taa imeshawaka safina inaondoka

Chadema mngekuwa mnatumia nguvu kubwa kiasi hiki na kwenye maendeleo chama chenu kisingekosa ofisi kwa miaka 20!!!!!
Tatizo la wananchi sio ofisi ni kutatuliwa shida zao na siasa safi kama ofisi mbona ccm wana magorofa makubwa na bado mambo magumu kwa watu
 
Wahenga walisema, 'Wakati ni Ukuta, ukipambana nao utajiumiza'. Ukweli ni kwamba Ukuta umeshajengwa mioyoni mwa watanzania. Kila njia serikali ya CCM inayotumia kushindana na Ukuta ndio inaongeza nondo na zege na kuzidi kuuimarisha! Asiyejua maana haambiwi maana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…