T shirts za liwalo na liwe iko sokoni

T shirts za liwalo na liwe iko sokoni

andrews

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2012
Posts
1,679
Reaction score
152
avatar16662_54.gif
 
Mbele andikeni Dr. Ulimboka nyuma Liwalo na Liwe zile za dhaifu ziko wapi?
 
Hivi unajisikiaje ukivaa Tshirt imeandikwa LIWALO NA LIWE?? Unashangilia? au unapinga? au wewe ni bendera fata upepo?
 
sa mbona umeweka kama avatar? ht hatuwezi kuizoom...
 
Samahani ndugu naiba wa Spika, hivi mimi ni Wizi Mkuu au nani, oohh sorry maana jana nilisema ntatoa tamko lakini nikakuta nimeingilia uhuru wa Maha-kama, hivi kweli sikujua kuwa kwa kusema vile naingilia uhuru wao au ilikua ni Hangover tu ndugu wazi-mkuu? sorry kumbe mimi ndio wazi-mkuu, I meant ndugu Supika? Hili koti la uwizi kama vile sio langu vile...mana kila siku nalisahau...aaah tuyaache hayo, Hivi unajua wewe dogo Tundu nakushesimu sana, usiniache nikufanye kama nilichomfanya yule jamaa juzi....sorry naona umekoti vibaya!!!!!!!!!!!!!!!!
 
shauri yaaako! Tutakuokotea mambe pande! Haya! We mbipu mzee wa mee
 
Hizo T-shirts zinapatikana wapi ili na mimi nijipatie moja.Naomba mwongozo tafadhali.
 
litapata wateja tena kwa bei yeyote ile, wahusika Mlilete Njombe plz
 
mkuu zisambaze mapema, coz najua litatokea na lingine kabla wengi hiz hazijatufikia
 
Back
Top Bottom