T - shirts best quality kwa bei nzuri ya kiwandani

T - shirts best quality kwa bei nzuri ya kiwandani

leonardkivuyo

Member
Joined
Jan 7, 2020
Posts
9
Reaction score
3
Habari wana jamii,

sisi ni wauzaji na wasambazaji wa fabrics na pia tunauza tshirts aina zote round neck pamoja na polo best quality kwa bei ya kiwandani.

Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kupitia 0758898829.

Karibuni sana tupo Arusha Njiro

IMG-20191230-WA0015.jpg
IMG-20191230-WA0014.jpg
IMG-20191230-WA0017.jpg
IMG-20191230-WA0016.jpg
 
mKUU MBONA AMESHASEANDIKA ANAUZA 2500.00 ,JUMLA KUANZIA 2 ANAUZA 1500.00
Ok,sasa umegundua kosa lako ...yaani unataka wateja wapate shida ya kuuliza bei badala ya kuweka order ...mada hautoshini mengi
 
Mkuu hio nyeusi imekubwa na majanga gani ? ushauri badilisha picha ya nyeusi unless otherwise ndivyo nyeusi zilivyo
 
Mkuu hio nyeusi imekubwa na majanga gani ? ushauri badilisha picha ya nyeusi unless otherwise ndivyo nyeusi zilivyo
Sawa mkuu ila nadhan n mwanga wakat wa kupiga picha...ila zipo colour zote hapo tumejaribu kuweka chache tu.
 
Bila shaka wote n wazima wa afya..Bei n zile zile kwa anzia 3245 kwa round na 8083 kwa polo..Bei imejumuisha VAT,karibuni sana.
 

Attachments

  • IMG-20200113-WA0004.jpg
    IMG-20200113-WA0004.jpg
    22.7 KB · Views: 22
  • IMG-20200113-WA0006.jpg
    IMG-20200113-WA0006.jpg
    22.9 KB · Views: 22
  • IMG-20200113-WA0005.jpg
    IMG-20200113-WA0005.jpg
    21.2 KB · Views: 17
  • IMG-20200113-WA0008.jpg
    IMG-20200113-WA0008.jpg
    27 KB · Views: 19
  • IMG-20200113-WA0007.jpg
    IMG-20200113-WA0007.jpg
    25.4 KB · Views: 17
  • IMG-20200113-WA0001.jpg
    IMG-20200113-WA0001.jpg
    23.1 KB · Views: 19
  • IMG-20200113-WA0000.jpg
    IMG-20200113-WA0000.jpg
    21.8 KB · Views: 17
  • IMG-20200113-WA0003.jpg
    IMG-20200113-WA0003.jpg
    24 KB · Views: 20
  • IMG-20200113-WA0002.jpg
    IMG-20200113-WA0002.jpg
    26.2 KB · Views: 12
Mkuu mzigo bado upo?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom