T-shirt za dr slaa

Tena nyingi ziende vijijini kule naamini kama mabadiloko yakichukua nafasi 2tapiga ha2a kubwa.MUNGU MPE AFYA NJEMA DR SLAA ili 2015 Aturekebishie NCHI.
 
Hakika wazo hili limesha wafikia wakubwa tunasubili utekerezaji na kama halifai please Dr. come out and challenge!!!
 
Good idea! Hili wazo ni vyema kwa wale waliokaribu na Mnyika wamfikishie kwani atalifanyia kazi. Tunahitaji hizo T-shirt za Dr. wa ukweli
 
Nawashauri CDM wachapishe t-shirt zenye picha ya Dr Slaa na nembo ya flag ya Tz then ziuzwe na zivaliwe na wafuasi wa CDM ambao ni 64% kuonesha kuwa walimchagua.

ziwe na quality nzuri.... kwani zile za CCM sijui zilitoka wapi.... hawakuvaa hata siku tatu zikachoka.... nadhani zilitoka fong kong au Yutong
 
nataka na kadet, na kofia na hirizi za kwenye gari na cover la tairi ka nyuma na sticker ya bima!!!! na benderaaa tuweke mezani kwetu!!!!

vimechelewa mnooooo!!!!!!! mie mpaka nimenunua kofia moja kwa babu kaniuzia 1500 jana moro....jema lakini
 
Hizi t-shirts ziuzwe kwenye kampeni mbali mbali za kichama..kama yale maandamano ya kupinga kupanda umeme, kwenye mikutano ya hadhara ya wabunge nchi nzima na kwenye hafla au mkusanyiko wowote utakaoandaliwa na chadema.

Pia si mbaya kukawepo pia na picha za wabunge wa maeneo ya majimbo tuliyochukua,especially kama kuna mkutano wa mbunge..zinaweza kuuzwa kwa pamoja

angalizo:

Kuwepo na tendering ya uhakika na kupata milki ya kutengeneza hizo tshirts ili mapato yote yatakayopatikana yaelekee kwenye chama ili kukijenga zaidi..
 
Naunga mkono hoja. Wazo hilo ilifanyiwe kazi mapema sana. Nilikuwa Mbeya wiki iliyopita nikapta kalenda mbili zenye wabunge na kwa mujibu wa muuzaji ni kwamba mauzo yake yako juu sana kuliko zile zenye baraza la mawaziri la Mchakachuaji
 
Very good idea, pia wachape fasta na kalenda za ukutani na mezani
 

I think we need to think a bit harder on this.
A t-shirt with Dr's picture and 64% on it?
I am afraid you will not find a printer to do it in Tanzania unless he is a "Sabodo" because they will slap him with huge tax liability so that he/she would be bankrupted,
If you do it outside the country, Customs would impound the goods as being sedicious in nature.
Thus, in my view such a t-shirt whilst would be a very good political weapon, it would not see the light of the day!
I submit.
 

No no! What I said in ma thread is that, t-shirt should be printed with Dr Slaa's picture alongside with some words either at da back or onfront of da t-shirt. The 64% i mentioned means if u buy a t-shirt and u wear it will mean u was da one how voted 2 Dr and u contributed on his landside victory of about 64%
 
Nadhani hii idea ni nzuri sana, na itasaidia kukiongezea chama mapato, kwani t shirts zitapata wateja wengi sana coz watu wengi wampenda sana Dr. Slaa kwani ndie mpigania wanyonge wa kiukweli kati ya wachache waliobaki na asiye na tamaa.

Basi tunakiomba chama cha CHADEMA kizichapishe hizo t-shirts zitufariji, kutukumbusha kuwa mapambano yanaendelea na mkombozi wetu (Dr. Slaa) na chama chetu tukipendacho kipo alive.

Lakini suala ni moja kubwa, je viongozi wa CHADEMA hawatamuonea wivu mwenzao Dr. Slaa (haswa watu kama akina Zitto) haswa ukizingatia wanautaka urais na pia wanaona pia wamekihangaikia chama kama Dr. Slaa?

Tunajua nanyie viongozi wa CHADEMA mmejitoa muhanga kwa ajili ya chama chenu, lakini mpende msipende, SLAA NI CHADEMA NA CHADEMA NI SLAA! Hivyo tumieni hekima na busara na ku take advantage kuwa Dr. Slaa ana mvuto mkubwa ili kukiletea mapato (kutokana na mauzo ya t-shirts za Dr. Slaa) chama chenu na pia kuamsha vuguvugu la uchaguzi wa 2015 kwa wafuasi wenu.
 
Picha yake Dk. Mbele,nyuma waweza andika:-asante cdm na dk kwa kuimarisha demokrasia tz. Asante cdm kwa kutupatia MP jimbo letu la mby-mfano n.k. Cdm iwaombe tz daima watuwekee kalenda ya bure ya 2011 kwenye japisho lao la new yr. Cdm watuuzie vikalenda vya mezani vyenye picha za matukio murua na anuai. Na wewe changia...
 
Tena ziwe za rangi mbali mbalimbali,white T-shirt ukivaa na pocket side ya kaki inakuwa poa sana.

 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…