T-shirt za CWT walizotugawia walimu zinatubana.

Lugogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
304
Reaction score
67
T-shirt za mei mos hizo ni ndogo sana.ukizivaa zinabana sana hii ni dharau sana.hela zetu hamjawahi kusahau kukata.na ndo maana katibu mmoja wa cwt mkoani geita kapunguza umri wake ili aendelee kukitumikia chama hicho.pia walimu wa wilaya ya geita wametapeliwa na mbunge MAX hela zao walizochanga ili wajengewe ukumbi.CWT ni CCM B.Kama ukoo wa panya.
 
CWT sikuhizi haina meno, nayo imekuwa jumuiya mojawapo ya CCM. Nyie vaeni tu hizo T-Shirt za wanafunzi siku ziende....
 
Weka picha, isije ikawa nyie ndo mnazibana... haya mafuta ya chipsi haya!
 
ndg zangu zinabana.zinafaa wanafunzi wa std 2,halafu wameleta bila suruali na sketi.sijui tunatoka vip?.
 
Zinawabana ni ndogoo au mmenenepa? Kwamba CWT ilijua size zenu lakini kumbe mmenenepa, au?
Unajua mafundi walichukua size zao mwaka jana kabla hawajapandishwa mishahara

Dalili ya mambo swafi hiyo...
 
Walimu lini mtaacha kulalamika? Hizo nguo za kubana si ndio style ya sasa vijana wanaita MODO.
 
Na nyie sasa mmezidi kulalamika.

Vipi makufuli yamewatosha?

Ha ha ha ha mkuu umeniwahi nilitaka niseme hilo hilo

Hivi na sie wa kada zingine tungeropoka kila saa shida zetu ingekuaje?

Hawa ndo wanaoidhalilisha taaluma ya ualimu...
 
lukosi nipe adress yako nikutumie kama unadhani sie tunalalamika walimu uone kama litakutosha.

Kwahiyo sisi ni mafundi cherehani?

mnaidhalilisha taaluma ndio nyie mlipokua utotoni mkilala njaa kwa sababu ya kukosa uwezo mnapita kuwatangaza wazazi wenu hadharani...
 
Walimu wa wilaya Geita tunatakiwa kuonyesha solidality yetu sasa Kwa sababu katibu CWT Bwana HEWA Hakuna kuficha swala la kutapeliwa fedha na mbunge Max amelifumbia macho Mbaya zaidi Amefumbia macho swala la walimu kukatwa pesa zao za mishahara na Mkurugenzi akishirikiana na Meneja wa NMB bank.Sasa ni wakati wa kuandaa maandamano ya walimu wote wa wilaya Geita Kudai haki zetu.Au Tuanzishe chama kipya.
 
mwanzon umedai tunapenda kulalamika.ndo maana nilitaka nikutumie ww ambaye hupendi kulalamika.
 
pefla.dawa ni mng'oa hewa.make kapunguza umri kazi tunayo tukizembea
 
kuSema maovu ni kulalamika kumbe?

Suala hapa si tshirt,inaonekana wazi mna matatizo na uongozi wenu wa CWT hapo GEITA.Laiti uongozi ungekuwa na nyie bega kwa bega sidhani kama mngeletewa hizo tshirt za ovyo mnazolalamikia.Ukiona hivyo jua 10% tayari hapo mwl
 
mwanzon umedai tunapenda kulalamika.ndo maana nilitaka nikutumie ww ambaye hupendi kulalamika.

Walimu mmezidi malalamishi hivi ni kada gani isiyo na changamoto?

Mnajidhalilisha kwakweli we hiyo T-shirt ndo ikulete kufungua thread JF? Mbona police wanaoishi kwenye full suits ..usalama wasiopanda madaraja huwaoni kuja kuanika shida zao hapa?

Hivi hata ethics unazijua? Hilo tatizo uliona vipi kulifikisha kwa wahusika?

Its too low!!
 
lusungo,mbona ww umechangia kama thread ni mbovu?tumia kichwa kufikiri na si kufugia nywele.suala mapolisi kama wao hawasemi mie siyo msemaji wao.unasema kila sekta ina changamoto kwa hiyo ndo tusiseme.?
 
T-shirt za mei mos hizo ni ndogo sana.ukizivaa zinabana sana hii ni dharau sana.hela zetu hamjawahi kusahau kukata.na ndo maana katibu mmoja wa cwt mkoani geita kapunguza umri wake ili aendelee kukitumikia chama hicho.pia walimu wa wilaya ya geita wametapeliwa na mbunge MAX hela zao walizochanga ili wajengewe ukumbi.CWT ni CCM B.Kama ukoo wa panya.
T-shirt zinawabana kwa sababu mna vitambi!
Hiyo siyo siri!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom