Hile ya kihombo Ni noma na kisanga uniisoma swali alikatiziElectronics yake nyepesi sana haijashiba
Eti alikatiziHile ya kihombo Ni noma na kisanga uniisoma swali alikatizi
Helkipta kama yanguHuyo T.O mkali wa Physics anaishi wapi ? Maana natafuta fundi wa helikopta yangu inapiga sana kelele
Anaumwa nini tena,T.o mtajwa hapo juu anaumwa saivi tumuombe mungu amponye. Amina
Huyo T.O mkali wa Physics anaishi wapi ? Maana natafuta fundi wa helikopta yangu inapiga sana kelele
Tupe data mkuu, Mwl wetu huyu amegusa maisha yetu tulio wengi.T.o mtajwa hapo juu anaumwa saivi tumuombe mungu amponye. Amina
Tupe data mkuu, Mwl wetu huyu amegusa maisha yetu tulio wengi.
WHe is realy sick yupo kwake kamcheck umpe pole......
Jamaa namkubali ukikurupukA na material take unachizieliasi kihombo T.O mwaka 2006 na Tishio katika baadhi ya vitabu vya advanced physics katika kurasa ya mwanzo kabisa ameandika kama ifuatavyo:-
This book contain embedded holograms in some pages that can destroy Completely the LASER of the photocopy machine so don't try to take a copy because the author of the book will not be in concern for the destruction the book has international copyright""
Mmmh! Nimefikiri sana nikaja na conclusion labda kwa sababu jamaa anadhani watz wote ni mazuzu ivi kina ukweli wowote hapo bhajameni