Mangimeli JF-Expert Member Sep 15, 2011 1,151 286 Sep 26, 2011 #1 Gari tajwa apo juu imeibiwa mwenye taarifa za kuweza kupatikana kwake dau NONO litatolewa,
B Big man Senior Member Sep 21, 2011 128 14 Sep 26, 2011 #3 Mangimeli said: Gari tajwa apo juu imeibiwa mwenye taarifa za kuweza kupatikana kwake dau NONO litatolewa, Click to expand... 2kusaidie nn? Hujasema ni gari aina gani, limeibiwa mkoa gani, rangi ya gari, limeibiwa lini?
Mangimeli said: Gari tajwa apo juu imeibiwa mwenye taarifa za kuweza kupatikana kwake dau NONO litatolewa, Click to expand... 2kusaidie nn? Hujasema ni gari aina gani, limeibiwa mkoa gani, rangi ya gari, limeibiwa lini?
nachid JF-Expert Member Apr 14, 2011 936 203 Sep 26, 2011 #4 Gari lenyewe linaungua moto kuna uwezekano mtapewa gari new model no T 2015 CDM