leonardbuba
Member
- Nov 30, 2017
- 47
- 26
Kwa walioshuhudia leo utolewaji wa tuzo za #SinemaZetuInternationalFilmFestive2019 lazima wengi wao wameguwaa na kustaajabu namna ambavyo mambo yamekuwa na mshanga mkubwa yaani uliye mzania na kumtegemea imekuwa sivyo ndivyo kwa vipengele vyote na hii ni maana kubwa sana kwa upcoming filmmaker na actors kwamba nafasi zipo na ziko wazi ni swala la kujituma na kutengeneza kazi bora.
Msanii bora wa kiume 2019
:Rashid Msingala Filamu #Kesho.
Huyu ni mtoto ambaye hajavuka hata miaka 15, Na kawapiku watu kama Gabo,Mau Fundi,Madebe
Msanii bora wa kike
:Flora Kihombo Filamu #Kesho.
Nae hajavuka miaka 15,Na kawapiku wema sepetu,Monalisa na Johari
Hivyo ndivyo vilikuwa vipengera vigumu japo vipo vingine ila hivi ni mshangao wa mwaka, Tujadili raia wema wanakwama vipi na ni plan za Azam kufanya hivyo kutokana na kelele za mwaka jana au ni stahiki yao kwa kazi zao? mie sielewi nahitaji maoni yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app