Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,413
- 55,987
- Thread starter
- #541
Namjua kiasi tuuAisee, unamjua sana itakuwa. Ndiyo maana watu wakija Dar hawarudi huku tena.
Dada mzuri huyo.
Safi sana
Huyo anayemfunga hicho kishikizo awe makini maana kwa sasa Wema ana tumbo kubwa. Anaweza kuvuta pumzi kishikizo kikachomoka kwa kasi na kumpasua kichwa.
Nipeko kanamba kake hata ka Pikipiki.
Amekata utumbo sasa hv ni size zero kabisaaaHuyo anayemfunga hicho kishikizo awe makini maana kwa sasa Wema ana tumbo kubwa. Anaweza kuvuta pumzi kishikizo kikachomoka kwa kasi na kumpasua kichwa.
Kakata tena tumbo? Alishindwa kukata ujinga wake wa siku zote huyo Mamalia.
HahaahaaaaKakata tena tumbo? Alishindwa kukata ujinga wake wa siku zote huyo Mamalia.
hakika mkuu
Naomba nikuulize kitu hapa Inbox.
Wewe ni seleburiti?
Ukimwona hapo utasema mtu ila subiri wiki ipite utasikia karekodiwa akila mayai, karekodiwa akila ndizi.