GE2025 'System upgrade' ya Benki ya CRDB haisafishi Mafisadi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,805
1. Toka nizaliwe sijawahi kusikia benki ina-upgrade system zaidi ya siku 3 mfululizo.

2. Hii system upgrade ya siku kadhaa mbona kama ni mpango Maalum wa kusafisha akaunti za Mafisadi? Wateja wanataabika kwa kukosa huduma ila hawajali. Pesa inatoka kwenye akaunti ila huipati na call centre hawapokei simu wala nini. Toka Jumamosi - Jumatano nimepata hasara kwenye biashara yangu. Sijui nani atanifidia
 
Kafie mbele huko CHADEMA. Huna hela
 
Dah yani mambo hayaendi kabisa kisa pesa zimeshikiliwa na hii system upgrade
 
Normal process na kwa huo muda ni sahihi kulingana na ukubwa wa taasisi
 
Wamezingua haswa, jana kutwa nzima nimehangaika kuwasiliananao bila mafanikio mpaka saa saba usiku wa kuamkia leo ndio nikaongeanao.

Ukweli tumeharibu sana kazi zetu kwa hizi siku nne sasa ni hasara kubwa kubwa sana tumepata.
 
wanataka kuficha taarifa za akina Bilionea IGP KAMILIUS WAMBURA. Siku askari wapiganaji wakijitambua wanavyotumika siku hiyo hiyo nchi inakombolewa.
 
Umewaza mbali
 
Maybe labda hujui, wanafanya sana lakin itategemea na upgrades maeneo gani na kwa ukubwa gani, si kila upgrade inachukua siku 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…