System aliyoitegemea Lowassa ilivurugwa na Kikwete!


Nimejitahidi kusoma uzi wako huu, nilichogundua ulikuwa unajenga hoja ya kijinga tu, huwezi kusema unaiondoa ccm alafu iwaeje? Kuwa makini sana, tumeona kilichofanyika chadema na ukawa kwa ujumla, ajenda yao ya rushwa na ufisadi imetupwa mbali kwa kuwa wamemchukua Lowasa, ni ujinga kuruka mkojo na kukanyaga mavi.

Kwanza nataka kukueleza ukawa waupe kwelikweli na si watu wa kupewa nchi hii, kwani wamejichanganya wao wenyewe, na hizi ndo sababu chache tu za msingi kabisa-
1: chadema hawawezi kuongoza nchi hii, nakumba Mbowe alisema kwenye mkutano mkuu wa chadema kuwa wao hawana uzoefu wa kuiongoza serikali kwa hali hiyo ndo maana wanataka vigogo kutoka ccm ili wawasaidie kuongoza serikali, huyo ni mwenyekiti anatamka maneno haya akiwa LIVE-ITV

2.Mbowe alisema kuwa ni ujinga kuacha mtu ambaye ana mtaji wa watu wengi, tena hawezi kufanya ujinga huo, maana yake alikuwa tayari kuchukua mafisadi ili afanye nao kazi na ndicho kilichofanyika kwa ss

3. Ajenda yao ya rushwa na ufisadi imewekwa kapuni na sasa ajenda hiyo ipo ccm, na rushwa na ufisadi ndo umefanya nchi yetu kudumaa kimaendeleo, sasa kusema tu kwamba ccm iondoke si hoja bali ni ujinga fulani ambao unajengwa na wapinzani baada ya kuchukua mafisadi

4.Namna walivompata Lowasa na katiba yao haviendani.

Swali langu kwa mtoa mada huu uzi wako wakati unauandika ulikuwa umeshapewa viroba? kwani nilidhani umekuja na mbadala wa nn kifanyike, kumbe mawazo yako ni kuturudisha kwenye mtandao wenu sio, safari hii tunahitaji kiongozi ambaye hatokani na mtandao, ambaye kimsingi ni Dr.JP Makufuli. Hizo swaga zingine zimepitwa na wakati.
 

Try not to peek outside the confines of your class for your own health.
 

kumbe huijui CHADEMA lakini pia hukijui hicho chama unachokishabikia vyema isipokuwa umejaa ushabiki. Angalia kati ya vijana wengi wanaovalishwa tshirts na kofia ili kuishabikia CCM wana sifa zipi
 
Salties wanaishi kwenye estuaries na sio baharini.
Saltwater Crocodile
Crocodylus porosus

The largest crocodilians on Earth, saltwater crocs, or "salties," are excellent swimmers and have often been spotted far out at sea.

Photograph by Sam Abell


Earth?s largest living crocodilian?and, some say, the animal most likely to eat a human?is the saltwater or estuarine crocodile. Average-size males reach 17 feet (5 meters) and 1,000 pounds (450 kilograms), but specimens 23 feet (7 meters) long and weighing 2,200 pounds (1,000 kilograms) are not uncommon.

Saltwater crocs, or "salties," as Australians affectionately refer to them, have an enormous range, populating the brackish and freshwater regions of eastern India, Southeast Asia, and northern Australia. They are excellent swimmers and have often been spotted far out at sea.

Classic opportunistic predators, they lurk patiently beneath the surface near the water's edge, waiting for potential prey to stop for a sip of water. They?ll feed on anything they can get their jaws on, including water buffalo, monkeys, wild boar, and even sharks. Without warning, they explode from the water with a thrash of their powerful tails, grasp their victim, and drag it back in, holding it under until the animal drowns.

Population estimates range from 200,000 to 300,000 worldwide, and they are considered at low risk for extinction. But saltwater croc hides are valued above all other crocodilians, and illegal hunting, habitat loss, and antipathy toward the species because of its reputation as a man-eater continue to put pressure on the population.

Hapo vipi Mkuu?
 
Mfyuuuuuuuuu


 
Ndio mana lowassa aliyejitapa kuwa watu wapige kura na wasiwe na wasiwasi wa kuibiwa kabadilika ghafla na kuwa mlalamikaji.
 
Mwanangu emenena Lowasa kwisha na kaka yake Sumaye na yeye lala salama. Mbowe kavuta sasa amebaki anapiga longo longo eti kura zimeibiwa. Mfa maji haachi kutapa hawajui kuwa watanzania sio wajinga wasingeweza kumchagua fisadi kuongoza nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…