This is very very very good news, JK swali kabla hujaswaliwa, jamani our time has come, tena nataka kusikia statement ya government juu ya kukumbatia serkali dhalimu wakati Asaad anauwa watu wake serikali yetu imeendelea kupokes vilamba mkono ka jina la malipo ya serikali kwa ajili ya maonyesho ya vitambaa na masufuria eti ya wafanyabiashara w seria, ama kweli ukisha kuwa DHAIFU hakuna pa kuponea, vitambaa vya hariri wakati tuna dhahabu na almasi tunashindwa kuwalip amishahara ya heshima watanzania wenzetu, badala yake eti tunatangaza kuwaletea madaktari wa nje, hao ndio tuko radhi kuwapa hela za baba za hawa wetu ili tuwe marafiki wazuri, i cant wait wamarekani watuwekee sanction maana hizo hela hazitusaidii ndio zinasosababisha rais mzima hakalishi ****** kwenye kiti chake kutwa yuko angani na washikai zake na madem zake wakiwemo kwenye timu, hata hivyo wana wake very weak, DHAIFU hawezi kupata wanawake wajasiri, hawajajifunza kw Hilary? hakuhitaji kuzurula dunia nzima kuwaonyesha watu kwamba pamoja na yote huyu bado mume wangu, inakusaidie nini wakati anakudhalilisha nchi nzima?