Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,074
- 34,844
Mwarabu akimsurubu Mwarabu Mwenzake itabidi ahukumiwe kama ni mkosaji sharia ni Msumeno mkuu haiangalia huyu Muarabu huyu sio Muarabu IGWEKwani mwaarabu akimusurubu mwaarabu mwenzake sharia inasemaje mkuu MziziMkavu...?
wananchi wa marekani wamechoka na vita za nje hizi...wanachoangalia ni uchumi na haswa mambo ya ajira. kwa hiyo kwa hili Obama hapati chochote cha maana katika kuongeza kura au kuonekana ni amiri jeshi au mlinzi wa uhuru na usalama madhibuti wa marekani. Uchaguzi wa Nov ni kuhusu uchumi basi aipige syria au iran haimsadii kisiasa sana sana inaweza kuwafanya hata wale leftists kutompigia kura na viya nyingine.
Siamini kama atatumia silaha za kemikali kwani deadly destructive na uwezekano wa kuua untargeted people ni mkubwa mno, so mara nyingi ni za kutishia tu
kama Assad akitumia silaha za kemikali dhidi ya raia wake wasio na hatia basi marekani itamtoa madarakani kwa nguvu za kijeshi............................
SOURCE: AL-JAZEERA TV.
mimi nilidhani kwa marekani vita ya nje means ongezeko la ajira?! Ama?!
mharakatilabda long run lakini vita mara nyingi imekuja na recession, angalia baada ya gulf war ya kwanza Bush senior akashindwa uchaguzi kwa sababu ya uchumi, vietnam ilikua disaster na wengi waliorudi toka vitani walijikuta hawana kazi na hali ilikua ngumu. Wanaotengeza hela kwenye vita ni elites wa ngazi za juu na makapumni well connected kama Halliburton na siyo raia wa kawaida wanaoingia gharama ya kulipia hizo vita.