ninafurahi kwamba ataondoshwa kama panya, atajificha kwenye majaluba kama gadafi......kitu kizuri zaidi ni kwamba, nchi ya syria imenyongónyezwa kupita kiasi, garama tu ya kuijenga tena ni kubwa mno kwasababu majengo mengi na miundo mbinu mingi imeharibiwa na inahitaji garama kubwa.....hii ni habari njema kwa Israel na wamagaribi, wakitaka kuipiga Iran syria haitakuwa njia au msaada kwa iran, kwasababu kwa kuchakachuliwa ambako syria imefikia sasaivi, hawatakuwa tayari kukabiliana na kipigo cha wayahudi/israel kwani wao wangewaharibu kuliko hata ambavyo amewaharibu assad.....kilicho baki hapo ni kwamba, IRAN IMEBAKI PEKE YAKE, hana msaidizi, hata nchi za kiislam wenzie wamemgeuka, hivyo kitanuka muda si mrefu kwa ahmadinejad, naye atamfata sadam na gadafi.