syprian msiba mgombea wa ccm Bunda afunguka kwa Rais kikwete

Huyu kijana huwa analopoka sana, sijui ndio anatafuta umaarufu au? maana hata katika mgogoro wa Yanga pia alilopoka ovyo hivyo sioni la ajabu kwa huyu jamaa.
 
Huyu kijana sijui anatafuta nini maana kama Lowasa ametoa na CCM wapenda rushwa wakadaka halafu anasema pekee mtoaji ndo anakosa huku ni kukosa upeo. Kuna Uzi fulani hapa JF ulikuwa una mzungumzia huyu jamaa akiwaponda sana CDM chama komavu.
 
Hebu mpeni mswaki huyo! Hata nape kamshwindwa EL yeye anamsemasema! kina EL wanasubiri aibu kutoka kwa CDM Pekeyake!
 
Weka kando Ukiladha wa huyu Jamaa! Vipi aliyosema yanamantiki? Na kaujasili wa kajapo kutokufa kikondo, Je hao aliowataja wanafanya hicho alicho kisema huyo MATANGA/Msiba?

Mbona hakujitoa au kusema kabla ya matokeo, ndio uchumia tumbo huo, tatizo nchi hii sasa kila mtu anayetaka kuiba na anayetaka kuishi mjini kiujanja ujanja kichaka chao cha kujificha kimekuwa kwenye siasa, believe me jamaa ni kilaza sana, ila kuonekana kwenye tv kaisha jiona yeye ni maarufu na labda anaweza kuongoza, Ata uwezo wa kuongea na kujenga hoja hana, kamuulize vision yake ya kuwa kiongozi ni ipi ndani ya ccm?
 
kuna kilaza mmoja alikuwa mtangazaji wa channel ten na magic fm(kama sio times fm),hata alipokuwa mtangazaji nilikuwa najiuliza alipataje kazi maana upeo wake ni mdogo mno.

............Tena huyu jamaa ni mtu mwenye kiherehere kinoma hapa jijini.... anatafuta umaarufu kwa kila hali.... yanga yupo anajifanya ndio vijana wa front katika yanga... ila bahati mbaya hajijui... ana kale ka damu ka kunguni.... kila jinsi anavyojitutumua watu wanamshangaa.... hana sapoti.. hakubaliki.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom