Synovate: Vinara tisa urais 2015

Hawa wakenya waache unafiki.
Sasa hivi wanatoa matokeo haya, ikifika kipindi cha uchaguzi, kila kitu in favour of magamba. Narabuuuku!
 
wapi umaarufu wa kikwete,? Kila la zzk
 
Nilipoona huu utafiti kitu cha kwanza kujiuliza umefanywa na kina nani? Kumbe ni tawi la CCM propaganda, Synovate!
 
Mi nashaur Josephine km kweli ana nia ya dhati na chama angebaki km mchumba wa Dr na mwanachama wa CDM bas mpaka labla atakapochaguliwa kwa hiar ya wanachama kushika wadhfa wowote mana kiukweli kwa kias flan anampunguzia Dr kura badala ya kumuongezea pia kuleta migongano isio ya lazima. Huu ni mtazamo wangu.
 
Haieleweki, hapa asilimia zimekaaje wakuu mbona jumla haifikii 100. Au ndio synovate wanatuonyesha jinsi kura za dr Slaa zitakavyochakachuliwa!
 

Ni kweli kabisa tungeelezwa hiyo "study" ilifanyikaje, na pia njia iliyotumika kupata hayo majina; je kulikua na majina watu waliyopewa kutoa maoni yao, au ilikua "reseach questions" hazikutaja majina badala yake zilikua wazi kwa watu kutaja majina! Bila "methodology" na hasa "sampling techniques" taarifa ya utafiti huu haitaeleweka vema.
 
Katoka walitajwa hapo, waliowahi kugombea urais ni Slaa na Lipumba tu. Zitto ametamka kuwa anataka kugombea, Pinda na Magufuli hawajawahi hata kutamka kuwa wanataka kugombea.

Synovate wanatumia vigezo gani kumfananisha mtu aliyewahi kufanya kampeni ya Urais nhci nzima na mtu ambaye hajawahi hata kusema kama anautaka Urais kama Magufuli?

Jimmy Carter wakati anatangaza kugombea Urais wa Marekani asilimia kubwa ya wamarekani walikuwa hawajawahi hata kulisikia jina lake...
 
Ni wahuni hawa hawako fair ni bendera fuata upepo!
Tena wanajishushia credibility
 

Kunyamaza ni busara!
 
Haieleweki, hapa asilimia zimekaaje wakuu mbona jumla haifikii 100. Au ndio synovate wanatuonyesha jinsi kura za dr Slaa zitakavyochakachuliwa!

Mkuu nimefanya marekebisho kwa kuongeza na wale waliopata asilimia za chini kabisa.
 
Nadhani uchaguzi wa serikali za mitaa next year 2014 uta-reflect uhalisia wa kama Dr. Slaa bado ni mwamba au laa,
 
Gazeti: Mwananchi
MTafiti: Synovate

Propaganda. Not worth the paper its written on
 
Synovate ni chombo cha idara ya propaganda ya CCM! Eti wanaipandisha CCM umaarufu kwa tafiti uchwara! Magazeti na vyombo vya habari vimeshindwa nyie mtaweza? Nia yenu ni kuwakatisha tamaa watanzania wenye nia ya kuleta mabadiliko nchini!
 

Hiki ndo hasa CCM wanachotaka watanzania wafikirie, eti watu wameichoka CHADEMA, watu wamemchoka Dr. Slaa kwa lipi? Hawa wakenya wanafanya biashara na CCM, wala hatujui nani mfadhili wa hizi tafiti zao! CCM inatumia kila mbinu kuwathiri watanzania kisaikolojia ili ionekane inakubalika! CCM imefanya nini cha kurudisha imani kuwatukana viongozi wa CHADEMA, kumchagua kinana mwizi wa meno ya tembo? Hicho kimerejesha imani? Watanzania wa leo hatudanganyiki!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…