Majungu tu haya
Nchii hii hakuna aliye Msaafi kiasi cha kumnyooshea kidole mwenzake watu wanapiga kila kona hadi huko kwenye makanisa na Misikiti kuna Ufisadi, hao wenye jukumu la kuteketeza Sheria za Nchi wakichunguzwa wengi wanaishi kinyume na Vipato vyao Harisi.Sijui nani wa kuinusuru hii nchi......sijui.....sidhani kama Watanzania wanaelewa.......kwa nguvu walizonazo kwa mujibu wa habari hii......hayupo wa kuwashinda ......ni washindi....hutaki....lala tu humu ukilalamika ila tumeshawashindwa .......tusubiri "labda" kizazi kingine kitachotengenezwa na mfumo wa kidunia.......
Weka hayo majina ya hao maafisa
Majungu tu haya
Jee, unataka?
Ushaambiwa kiongozi mkubwa serikalini unataka nini sasa? Mwana.halisi limefungiwa lakni wangekuwepo wangewataja waziwazi,2015 ni kuwapiga chini wabunge mizigo yote ya CCM!! IPTL/Symbion/Dowans ni mafisadi wachache tu serikalini....
Achana na jinga hilo amna mfanya biashara hata mmoja duniani anayeweza toa pesa kama alivyo fanya rugamanila pale kuna mchezo mchafu tu hata marekani wenyewe wenye dola zao wanatukopesha siwangetupa bure!!Acha kujidanganya wewe......hata bill gates hawez fanya vile
Ni upumbavu kusema, "wamiliki ni hawa hapa" na kisha ukasema "majina yanahifadhiwa"... upumbavu mtupu!
Weka hayo majina ya hao maafisa
Majungu tu haya
Jee, unataka?
Vipi hawa wachungi wa kondoo nao au kanisa lina Shea ktk mchakato mzima
Nadhani umezungukwa na walafi ndio maana unasema kila sehemu wapigaji. Ndio mnavyojidanganya, ndio maana somo la ujasiriamali lapaswa kufundishwa kwa hasira. Watanzani kwa mfumo wa malezi mabaya ya chama cha maombaomba, tumegeukia majibu mepesi kwa matatizo makubwa, ni lazima kupiga ni lazima kupiga. Akili zimajaa utopeNchii hii hakuna aliye Msaafi kiasi cha kumnyooshea kidole mwenzake watu wanapiga kila kona hadi huko kwenye makanisa na Misikiti kuna Ufisadi, hao wenye jukumu la kuteketeza Sheria za Nchi wakichunguzwa wengi wanaishi kinyume na Vipato vyao Harisi.