Symbion Power: Intelligence watupu

Historia haiandikwi kwa siku moja. Jina Balozi Mwanaidi Majaar sijui litachukuwa kurasa ngapi katika kitabu cha historia ya Umeme Tanzania. For better for worse, jina la la huyu mwanamama limo kwenye saga ya Richmond/Dowans na sasa Symbion.

Nilisema huko nyuma kuhusu huyu Joe Wilson na ujajusi. Pamoja na kwamba Balozi Majaar anajaribu kutatua tatizo la umeme hapa nyumbani napatwa na wasiwasi na 'thinking au logic' ya kuleta an extremely strong team ya majasusi. Kwa nchi ambayo haina hata uwezo (au inapuuza) wa kuzuia ndege za kivita toka nchi nyingine kutua kwenye viwanja vyetu vya ndege na kuchukuwa wanyama, au kuzuia mabomu kama yale ya Mbagala & Gongo la Mboto, itawezaje kukabiliana na hawa 'magwiji'?

Tayari Hillary Clinton amekuja TZ and tells you how 'happy' they to have got a very good entry point. Kwa muda nimekuwa najiuliza sana hivi hakuna namna ya kutatua tatizo la umeme kweli from within the country?
 
Hawa jamaa hawajaja kupoteza muda wao navijisent vya tanesco walichokiijia ni uranium wanajua tayari Tanzania kuna uranium ambayo ni bidhaa hatari kwa usalama wa dunia. Wanajaribu kuwa karibu na bidhaa hiyo ili waweze kudhibiti isiangukie mikononi pabaya na zaidi wako mbioni kuja kuimiliki muda sio mrefu.

Hiki ni kikosi kazi ambacho haiwezekani kitumwe kwenye nchi moja pasipo sababu za muhimu, TISS yetu ni duni sana naamini tutajuta mwisho wa siku kama hatutakuwa makini
 
Haipandi akilini kabisa kuachia strategic sector kama ya umeme mikononi mwa wale wanaoota ndoto za ku-exterminate watu weusi from the face of this planet. Umalaya wa uongozi wa sasa si hatari ya kufukia chini ya zulia. Madhara yake ya muda mrefu ni mabaya sana. Haiwezekani tukubali tupelekwe kwa hawa wazungu na mbwa zao tuauwaombe watufanye watumwa wao. Kwa namna mambo yanavyofanywa hovyo hovyo enzi hizi, siku ya iana hiyo haiko mbali.

Niwaombe radhi wasomaji wa hii na niwatake wanivumilie kwa kuchanganya na hili hapa. Huyu mkuu wa nchi anapodiriki kudhihaki umma wa Tanzania kwamba hawezi kupeleka wingu la mvua pale Mtera ili maji yajae pale ni zaidi ya tusi la nguoni.
Mtu mzima keshavimbiwa na tumboni mwake kumesheheni hewa chafu ambayo potelea mbali anaiachia. iwe hadharani au kwingineko ... enjoy the smell you silly bunch of whinning meany moaners ... sasa nawarudisha kule kwa manyangau na hakuna mtakachonifanyia! Basi ifike siku tufanye kweli! Inaafuu.
 

Mkuu kwani umewahi kusikia kuwa kuna ofisi ya uhsiano ya CIA nchi yoyote.
Katika ulimwengu wa overt na covert activity cover ni muhimu.
 
Mission ndio inaanza mna haraka gani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Soooooooon Accomplish MWAAAAAAAAAAAAAAAAAAH Kweupe KILA KITU.

Si viongozi wamependa.
 
MCHUNGAJI NI YULEYULE KILICHOBADILIKA NI JOHO TU!

Kilio cha umeme kitaisha wakishamaliza kuuza mijenereta yao na kuchota pesa za kutosha toka kwenye miradi isiyo tija ya umeme...
Laiti kama serikali ya CCM ingelikuwa makini kungelikuwa na mpango mkakati wa kutumia Mito kama Kagera na Mara, kwa kanda ya ziwa, Maragarasi kwa kanda ya kati na ile iliyosalia ingelizalisha umeme kwa kanda zilizobaki. Na ingeliunganishwa na Umeme wa Gesi na Makaa ya mawe hadithi ya umeme isingelikuwepo. (hapo achilia mbali kuzalisha umeme kutokana na maziwa makuu tuliyonao) lakini inaonekana gharama za kuanzisha miradi hiyo ni kubwa kuliko kulipa kampuni fisidi za nchi
 
Watz wenzangu lazima tujiulize hivi Usalama wa Taifa letu uko wapi? Marekani wako after Resources zetu na kwa hilo wako tayari kumwaga damu yetu. Magamba wameona kuliko kuachia madaraka kwa chama kingine wako basi heri wawe vibaraka wa Marekani. Yaani kwa sababu CDM wamemwaga Mboga sasa wao wanamwaga Ugali. Angalizo Usalama wa vinara wa Vita ya Ufisadi uko hatarini.

Mungu ibariki Tanzanzani.
 

Nani kakwambia interest ya US ni kuwapatia umeme TZ? US ana interest za kiuchumi zitakazoinufaisha nchi yao si kuziinua nchi nyingine. Subiri bomu litakalolipuka baada ya umeme kuzalishwa.
 
Mkuu kwani umewahi kusikia kuwa kuna ofisi ya uhsiano ya CIA nchi yoyote.
Katika ulimwengu wa overt na covert activity cover ni muhimu.

Sawa, lakini hiyo cover isije kula kwetu.....sisi nchi maskini, tunahitaji umeme. Kama hao CIA wanataka kuweka station yao hapa (kama haipo tayari) poa tu, waweke.....lakini wasicheze na umeme wetu.
 
Halafu, naona wamarekani wanaendelea kutumia nguvu nyingi sana kuileta hii symbion hapa. Clinton alivyokuja, ameenda Symbion...Sasa wamekuja hawa watalii kutoka US, wameenda Ikulu, mmoja wa watoa speech ni bosi wa Symbion......MEANWHILE hakuna umeme!
 
Halafu, naona wamarekani wanaendelea kutumia nguvu nyingi sana kuileta hii symbion hapa. Clinton alivyokuja, ameenda Symbion...Sasa wamekuja hawa watalii kutoka US, wameenda Ikulu, mmoja wa watoa speech ni bosi wa Symbion......MEANWHILE hakuna umeme!

ndio hapo ....
 
Mimi nashangaa imekuwaje Symbion wawe na mkataba wakati wabunge wetu hawajui chochote kuhusu hii symbiosis, walahi Fisadi papa lazima atalipa na ufisadi wake we ngoja tu atoke pale Magogoni.
 

Nakubaliana na wewe vizuri kabisa kuhusiana na ushauri wa kila mwana JF kusoma hichi kitabu hicho ndio ataelewa jinsi US wanavyotalawa nchi kama Tanzania kupitia ulafi, uchoyo na ujinga wa viongozi wetu.
 
Tatizo la mgao wa umeme limeandaliwa na CIA toka 2004. maandalizi yamekamilika,wanakuja kutuletea umeme na tutapata umeme kwa bei rahisi sana.na hautakatika
WAO watafaidika kwa kuweka uongozi wanaoutaka 2015,watakuwa na uhakika wa usalama wa URANIUM yetu,watakuwa na uhakika wa masoko ya GM foods na Mbegu kutoka USA.watapewa vipaumbele ktk kuchota Gas na mafuta yaliyopo by 2021.
na yote hayo yatafanyika bila kujali ikulu ipo CDM au CCM .ila preferred patner ni CCM ya JAyKei
 


The name is BONG....JAMES BOND.

WASALIMIE JAMAA ZAKO HAPO VAUXHAL
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…