Symbion kuishitaki TANESCO Mahakamani nchini Ufaransa

Rais Magufuli, tumbua hawa watu.. nani Dec 2015 alisaini mkataba mpya na Symbion kwa 15 yrs..? Nani huyo.? Ni Waziri au Tanesco wenyewe kupitia Mramba au nani..?

Hili sio jipu sasa ni CANCER ya damu..!!

Mh. Rais tumbua hapa Tanesco au aliyesaini mkataba huo... act ASAP plz..!!
Hata akitumbua mkataba umeshasainiwa.Na akibreach hiyo contract indeed lazima tulipe damage.
 
Kwa nini Ufaransa, Wakat nchi yetu haiongei kifaransa? Kwani mkataba ni quran au bible hauwez sitishwa??? Kwa nini Tanesco walisaini???

Ufaransa kwa sababu Mahakama Kuu ya hayo mambo Duniani iko Ufaransa, kama vile sisi Mahakama Kuu ya Mauaji ya Kimbari ilivyo Arusha hivyo mauaaji yakitokea labda Nigeria ni lazima watakuja kushitaki Arusha!
 
Rais Magufuli, tumbua hawa watu.. nani Dec 2015 alisaini mkataba mpya na Symbion kwa 15 yrs..? Nani huyo.? Ni Waziri au Tanesco wenyewe kupitia Mramba au nani..?

Hili sio jipu sasa ni CANCER ya damu..!!

Mh. Rais tumbua hapa Tanesco au aliyesaini mkataba huo... act ASAP plz..!!

hakuna mkataba uliosainiwa December hizo ni mbwembwe tu za Wamarekani.

Tanzania: Tanesco Pulls Out of Talks On New Deal

Dar es Salaam — Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) has terminated talks on a new long-term contract with Symbion Power Tanzania Ltd.

Tanesco has communicated its decision in a letter to Symbion Power, effectively ending the US-based firm's lucrative partnership with the Tanzanian public utility. Symbion has been generating and selling power to Tanesco, in addition to building power transmission lines.

Tanesco managing director Felchesmi Mramba says in the letter dated May 4, this year, that the decision to end the talks on a power production agreement (PPA) follows a directive issued by the government.

"You will recall that Tanesco and Symbion were negotiating a long-term power purchase agreement, which would have been executed subsequent to issuance of necessary approvals from the government and other relevant authorities. Tanesco is in receipt of categorical directives from the government to suspend execution of the intended PPA on any party thereof as from the date of this letter. We wish to inform you that Tanesco has formally withdrawn from being a party to the intended PPA," Mr Mramba says in the letter, whose copy was seen by The Citizen.

Yesterday, no Tanesco officials reached by The Citizen was willing to discuss the matter. Contacted for comment, Energy and Minerals minister Sospeter Muhongo referred us back to Tanesco. Symbion Power's Senior Vice President for Public Affairs and Communications, Mr Adi Raval, confirmed he was aware of the development, and accused Tanesco of violating an agreement not to reveal contractual matters.

"Symbion is aware of these reports and that confidential documents have been leaked to the press. We have supplied power to Tanzania for five years without a hitch and in all these years, we have never discussed the details of our legally valid contracts involving Tanesco... .the position remains the same," Mr Raval told The Citizen yesterday from Washington. The development appears to stem from displeasure voiced recently by government leaders, including President John Magufuli, about the huge sums Tanesco pays independent power producers (IPPs).

While launching the construction of the second phase of the Kinyerezi gas-driven power plant in Dar es Salaam, President Magufuli directed Tanesco not enter into new agreements with IPPs.

He said the contracts were skewed in favour of power producers at the expense of cash-strapped Tanesco.

Presenting the Energy and Minerals ministry's 2016/17 budget in Parliament last week, Prof Muhongo said the ministry was working towards self-reliance in power generation to end dependency on IPPs.

Symbion Power had agreements with Tanesco to operate power plants in Dar es Salaam, Dodoma and Arusha. It could not be immediately established when its current contracts run out. Tanesco currently spends at least $16.76 million ((Sh36.6 billion) per month in capacity charges paid to a handful of IPPs. Symbion alone is paid $1.866 million, $2.25 million and $2.69 million every month through selling electricity to Tanesco in Arusha, Dodoma and Dar es Salaam, respectively. Under conventional power purchase agreements, payments for capacity are made whether or not electricity is actually generated by the privately-owned power firms.
 
Unataka kutuambia watafungua kesi wakiwa na ushahidi wa mkataba feki?Serikali na TANESCO sio wa kuwaamini katika hili.
 
View attachment 351561 Licha ya Rais Magufuli kuwasisitiza TANESCO kuepukana na mikataba ya "ajabu ajabu" na kulitia Taifa na shirika hasara,bado TANESCO mwezi Desemba walisaini mkataba wa miaka 15 na kampuni ya Symbion,na baada ya "agizo" hilo la Rais wakati akifungua mitambo ya umeme wa Gas wa Kinyerezi

Hali hiyo imefikia Tanesco kuamua "kusitisha" aina yoyote ya mahusiano ya kimkataba na kampuni ya Symbion,hivyo kuifanya Symbion kuchukua hatua zaidi z kuipeleka Tanesco Mahakamani.Kila mwezi Tanesco hulipa karibu shilingi bilioni 36 kwa makampuni ambayo imeingia nayo mkataba wa kuzalisha umeme,malipo hayo ni kwa ajili ya 'Capacity Charge" kitu ambacho huliingiza Taifa na shirika lenyewe hasara kubwa na kuongeza mzigo wa malipo kwa wananchi wa chini

Wakati Tanesco ikichukua maamuzi hayo chini ya "influence" ya Rais,wao Symbion wanasema hawautambui msimamo huo mpya wa Tanesco kwani Desemba mwaka wa jana 2015,Symbion na Tanesco walishaingia kwenye mkataba wa miaka 15 wa Symbion kuliuzia Shirika la Umeme Tanzania kiwango cha umeme.

Management ya Symbion imechukuwa hatua ya kuifikisha Tanesco mahakamani ili kuishinikiza iweze kuendelea na mkataba huo ambao Symbion ingemuuzia Tanesco umeme kwa miaka 15
piga ua tusikubali huu ukoloni na unyonyaji. eti kesi ufaransa. hata kama kuna wahaini au wajinga wetu wamesaini hiyo mikataba hawa wakoloni mambo leo wanahusika na dhuluma hiyo. ikibidi tutunge sheria kwenye bunge letu kukataa kulipa kama ndio utawala wa sheria. hii mambo ya richmond na dowans hatutaki tena kusikia.
 
Kwenye michango ya wana jf hapa utaona majipu na yasiyokuwa majipu. MIKATABA GANI HIYO ISIYOKUW NA KIPENGERE CHA KUUVUNJA PALE INAPOBIDI? KWA HII MIKATABA WANASAINI WAKIWA WAMELEWESHWA? SO CRAZY.
 
Waliosababisha nchi kuingia hiyo mikataba mibovu kwanini wasichukuliwe hatua za kisheria kwa kulisababishii taifa kuingia hasara kubwa ya mabilioni ya fedha.
 
Tanzania ya Magufuli sasa imekuwa chungu kwa wale wajanja wajanja na madalali wenye mitambo ya kukodi waliokuwa wameigeuza TANESCO kichaka cha kupigia hela!
Juzi tulisikia songas leo tunasikia symbion huenda kesho na keshokutwa tukasikia agrecko na IPTL nao wameenda kuishtaki TANESCO mahakamani.

Hongereni Sana Magufuli Muhongo na Mramba Wa TANESCO kwa misimamo yenu kwa hawa wajanja wajanja waliokuwa wameshajipenyeza na makampuni yao binafsi ya kufua umeme na kulifisi shirika na kukwamisha maendeleo ya nchi kwa Ujanja ujanja wa kutuuzia umeme bei kubwa na kuliibia shirika mabilioni ya service charge(malipo hewa yaliyoidhinishwa na sheria za ulimwengu wa kibepari kuinyonya TANESCO) kila mwezi.

Endeleeni na msimamo huo huo. Umeme ndio injini ya kutupeleka uchumi wa viwanda
 
Hapa nikutamka kuwa rushwa ilikuwepo kwenye mikataba na kuonyesha mazingira na vielelezo na kesi haitakuwepo!!!
 
Hakuna mkataba wowote uliosainiwa kati ya symbion na TANESCO hizo ni mbwembwe tu na kutapa tapa kwa hawa wawekezaji wajanja wajanja wa kigeni. Maji ya Magufuli yamewafika shingoni sasahivi wanatapatapa tu!

Na nyie mnaojaribu kutetea hawa mabepari wa kigeni hebu kuweni na uzalendo hata kidogo ili watanzania tuungane kuonyesha tumechoka udhalimu wa hawa watu kutuibia mabilioni ya service charge kila mwezi.
Kiama chao kimefika tutasikia mengi tu.
 
Mikataba inaingia serikali(wizara) kwa niaba ya Tanesco kisha mambo yakiharibika Tanesco ndio wanabebeshwa lawama.

Serikali inaishinikiza Tanesco iingie kwenye mikataba, mambo yakienda kombo analaumiwa Tanesco.

Tanesco ndio walimpa mwaliko Mama Clinton aje kuzindua mradi na mitambo ya symbion?, Tanesco ndio walimualika Obama aje bongo?

Tanesco inatolewa kafara tu ila wanaoliharibu shirika ni wanasiasa.

Wakati mkataba unaingiwa walipaswa wazingatie projection za kuwa na umeme kuanzia siku za karibuni (near future) kutokana na ukweli kuwa kulikuwa na miradi mingi ya TANESCO inaendelea kama ule wa kinyerezi ambayo ilijulikana wazi inakamilika lini na itatoa umeme kiasi gani na mahitaji yetu ya kila mwaka kwa miaka kadhaa ijayo ni kiasi gani na je kuna ulazima wa kuingia mikataba mipya ya muda mrefu. Kuingia mkataba wa miaka 15 tena juzi juzi (Dec 2015) ni sehemu ya hujuma.
 
Kwa uelewa wangu mdogo, mkataba sio lazima uwe kwa maandishi.
Symbion wakiweza kuonyesha kama walitoa offer na TANESCO ikaikubali- accept. Then, hapo kuna mkataba na TANESCO yuko liable, hata kama walikuwa hawajamalizia mambo madogo madogo.
 
Tanzania ya Magufuli sasa imekuwa chungu kwa wale wajanja wajanja na madalali wenye mitambo ya kukodi waliokuwa wameigeuza TANESCO kichaka cha kupigia hela!
Juzi tulisikia songas leo tunasikia symbion huenda kesho na keshokutwa tukasikia agrecko na IPTL nao wameenda kuishtaki TANESCO mahakamani.

Hongereni Sana Magufuli Muhongo na Mramba Wa TANESCO kwa misimamo yenu kwa hawa wajanja wajanja waliokuwa wameshajipenyeza na makampuni yao binafsi ya kufua umeme na kulifisi shirika na kukwamisha maendeleo ya nchi kwa Ujanja ujanja wa kutuuzia umeme bei kubwa na kuliibia shirika mabilioni ya service charge(malipo hewa yaliyoidhinishwa na sheria za ulimwengu wa kibepari kuinyonya TANESCO) kila mwezi.

Endeleeni na msimamo huo huo. Umeme ndio injini ya kutupeleka uchumi wa viwanda
ANGALIZO:Siioni Tanzania ya viwanda.
Nchi haijajipanga kujitosheleza kwa mahitaji ya umeme,yani bado tupo kwenye mipango ya kujitosheleza halafu tunaleta figisufigisu kwa hawa wawekezaji japo wanatunyonya?tulitakiwa tuwe tumeshajikamilisha ndo tuanze figisufigisu.

TANESCO haina mitambo yake ya kufua umeme zaidi ya mitambo ya maji,na kama ipo ni michache na haitoshelezi mahitaji,GESI sio ya TANESCO, ni ya wawekezaji sasa tutegemee kuona umeme kukatikakatika kwa maelezo ya kufanya marekebisho ya mitambo au kusafisha visima vya gesi.

THE SAGA CONTINUE.
 
hakuna mkataba uliosainiwa December hizo ni mbwembwe tu za Wamarekani.

Tanzania: Tanesco Pulls Out of Talks On New Deal

Dar es Salaam — Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) has terminated talks on a new long-term contract with Symbion Power Tanzania Ltd.

Tanesco has communicated its decision in a letter to Symbion Power, effectively ending the US-based firm's lucrative partnership with the Tanzanian public utility. Symbion has been generating and selling power to Tanesco, in addition to building power transmission lines.

Tanesco managing director Felchesmi Mramba says in the letter dated May 4, this year, that the decision to end the talks on a power production agreement (PPA) follows a directive issued by the government.

"You will recall that Tanesco and Symbion were negotiating a long-term power purchase agreement, which would have been executed subsequent to issuance of necessary approvals from the government and other relevant authorities. Tanesco is in receipt of categorical directives from the government to suspend execution of the intended PPA on any party thereof as from the date of this letter. We wish to inform you that Tanesco has formally withdrawn from being a party to the intended PPA," Mr Mramba says in the letter, whose copy was seen by The Citizen.

Yesterday, no Tanesco officials reached by The Citizen was willing to discuss the matter. Contacted for comment, Energy and Minerals minister Sospeter Muhongo referred us back to Tanesco. Symbion Power's Senior Vice President for Public Affairs and Communications, Mr Adi Raval, confirmed he was aware of the development, and accused Tanesco of violating an agreement not to reveal contractual matters.

"Symbion is aware of these reports and that confidential documents have been leaked to the press. We have supplied power to Tanzania for five years without a hitch and in all these years, we have never discussed the details of our legally valid contracts involving Tanesco... .the position remains the same," Mr Raval told The Citizen yesterday from Washington. The development appears to stem from displeasure voiced recently by government leaders, including President John Magufuli, about the huge sums Tanesco pays independent power producers (IPPs).

While launching the construction of the second phase of the Kinyerezi gas-driven power plant in Dar es Salaam, President Magufuli directed Tanesco not enter into new agreements with IPPs.

He said the contracts were skewed in favour of power producers at the expense of cash-strapped Tanesco.

Presenting the Energy and Minerals ministry's 2016/17 budget in Parliament last week, Prof Muhongo said the ministry was working towards self-reliance in power generation to end dependency on IPPs.

Symbion Power had agreements with Tanesco to operate power plants in Dar es Salaam, Dodoma and Arusha. It could not be immediately established when its current contracts run out. Tanesco currently spends at least $16.76 million ((Sh36.6 billion) per month in capacity charges paid to a handful of IPPs. Symbion alone is paid $1.866 million, $2.25 million and $2.69 million every month through selling electricity to Tanesco in Arusha, Dodoma and Dar es Salaam, respectively. Under conventional power purchase agreements, payments for capacity are made whether or not electricity is actually generated by the privately-owned power firms.
Source please.Where did you get this information.Plagiarism is not good.
 
symbian..jpg

Dar es Salaam. Symbion Power is contemplating a court move against Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) objecting to a plan to terminate its power supply contract, The Citizen can reveal.

The Citizen has learnt that the US electricity generating and distribution company is to sue Tanesco at the International Chamber of Commerce in France over a decision to terminate their work.

This is the latest development is the fast unfolding saga that is taking the shape of the past contract wars between Tanesco and Dowans, that in the end cost the taxpayers more than Sh250 billion in dispute settlements. Dowans was awarded the huge sum in the same manner before selling off the power plant to Symbion.

Firm’s managing director Paul Hinks is reportedly mulling the action after failing to secure commitment from the government that Tanesco would not unilaterally terminate the contract it argues was legal and binding.

Symbion and Tanesco are currently in a standoff over the manner in which the local power utility corporation is handling an apparent 15-year deal it handed the US company in December last year. Highly placed sources in Tanesco confided to The Citizen that Tanesco signed an agreement with Symbion on December 10, 2015 for generating and supplying 112MW until 2030.

The contract was signed soon after the expiry of the emergency power production contract between the same parties. According to the sources, the new 15-year contract was approved by authorities, including the Energy and Water Regulatory Authority (Ewura) and the Attorney General. Ewura issued Symbion with a licence for the contract on December 7 the same year upon payment of $45,000 (Sh90 million).

According to the sources, Tanesco’s managing director Felchesmi Mramba and the company’s acting legal officer Godson Makia signed the deal on behalf of firm while those who signed on behalf of Symbion were the then managing director, Dr Wagesverom Subramaniam, and Financial controller Gosbert Mutagaywa.

Things, however, took unexpected turn last month when Tanesco wrote to Symbion to announce it was “terminating talks on a new long-term contract” with the US firm. Mr Mramba wrote the letter on May 4, 2016 to reveal it would opt out of the talks.

In the letter, Mr Mramba suggested Symbion and Tanesco were in negotiations for the power purchase agreement. “We wish to inform you that Tanesco has formally withdrawn from being party to the intended PPA [power purchasing agreement],” he wrote. “You will recall that Tanesco and Symbion were negotiating a long-term power purchase agreement which would have been executed subsequent to issuance of necessary approvals from the government and other relevant authorities. Tanesco is in receipt of categorical directives from the government to suspend the execution of the intended PPA on any party thereof as from the date of this letter,” reads part of the Tanesco’s communication.

Following this communication, Mr Hinks wrote to the government, on May 10, to protest the move and demand that the firm’s contract be enforced as signed last year. Mr Hinks’ letter was sent to Energy and Minerals minister Sospeter Muhongo and copied to the Attorney General and the State House. In the letter, he enumerated the process leading to the signing of the PPA on December 10 and suggested Tanesco’s latest move was dishonest.

The Symbion MD complained that despite signing the contract, Tanesco had not paid them for the power supplied since then on grounds that the PPA was “under review” and “on hold.”

“We believe that we have been extremely patient and understanding as months of non-payment have elapsed but we must now insist that Tanesco fulfil its contractual obligation to pay Symbion for the power we have produced and which we are delivering every day,” wrote Mr Hinks.

The agreement with Tanesco, was to supply the 112MW for 15 years at a capacity charge of $17.66/KW per month and an energy charge of US cents 0.35 per KWh, the cheapest among all the independent power producers serving Tanesco.

Mr Mramba has been unavailable since Wednesday to shed light on the dispute or the decision to turn around the said Symbion contract. Prof Muhongo would not answer our questions when told about the existence of the December 10 contract, insisting only that the matter was between the two parties.

“As government we will not issue statements based on media queries. I will issue my reaction when it is necessary,” he told The Citizen in a telephone interview yesterday. Calls to the Attorney General George Masaju were not being answered and a text message sent to his known mobile number had not been replied to by the time of filing this report.

The Symbion’s senior vice president for Public Affairs and Communications, Mr Adi Raval, confirmed they have a contract with Tanesco and urged speedy and consensual resolve to the developing standoff.

“Symbion has a legally valid 15-year power purchase agreement that was signed by both Symbion and Tanesco in December 2015. We have comprehensive records to support anything we might say, it is important to note that legally, this PPA cannot be terminated unilaterally by Tanesco. “The public should probably wait for the truth to surface and also wait to see how this plays out before anyone passes judgement. In the meantime we will be patient and will not be distracted by attacks on us.

Asked about the move to sue Tanesco in France, Mr Raval said: “We hope that common sense might still prevail and a major dispute can still be averted. It is far too early for us to set things straight about what has been going on in Tanzania over recent months.”

Source : The Citizen
 
Nchi yetu kuna vitu vinafanyika utadhani waliofanya ni watoto wadogo kila kitu Maneno meeengi....aghhhhh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom