Symbian os tutani. Msaada wakuu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Symbian os tutani. Msaada wakuu.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mu-sir, Jul 21, 2012.

 1. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Wakuu wa Technology.

  Naomba msaada wenu kwa hili simu yangu ni NOKIA N97 na inatumi Os ya SYMBIAN. Hii operating system inanisumbua sana hivi ninaweza kuibadilisha kweli? Au kama kubadilisha haiwezekani naweza kuiupgrade vipi? Nimejitahidi kupitia kwenye webstie ya NOKIA bila mafanikio na nikijaribu Icon ya Software update kwenye simu inazimika.

  Nawasilisha.
   
 2. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu,
  Haiwezekanit kubadili OS ya simu.
   
 3. leh

  leh JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  unaweza kujaribu CFW (custom firmware) ambayo ni firmware watu waliotengeneza kutoka kwa OFW ila wametoa toa vitu vya kipumba. na kingine cha maana watu husahau ni kwamba dont install/put anything in C:/. RAM ya smartphones (with a few new expections) hurun on the low side. hivi basi, unavyo tumia RAM consuming tasks ina "borrow" space kutoka kwa C:/ itumie temporarily kama RAM. sasa basi, unavyoweka apps/music na files kwenye C:/ unakuwa umenyima OS uwezo wa kujiongeza RAM. ushauri wangu ni kwamba kabla hujapata CFW, tafuta program iitwayo x-plore na uitumie kumake sure huna kitu ambacho umeweka kwa C:/. hata apps ulizoinstall kwa C:/ toa na utaona a significant change

  regards leh [​IMG]
   
 4. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Ahsante sana mkuu kwa msaada huu.
   
 5. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Duh, hivi Symbian bado zipo?
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  hapana zilishakufa kitambo
   
Loading...