"Switi hati"

hahahaha huyu mzee wa wapi jamani hivi haoni aibu sidhani hata kama dushelele yake inafanya kazi
 
ahh! kijana wa zamani huyo!!!
 
Tudingi kama hutu tunapigaga show za hatari,si mnaona kalivyo mshika switi hati wake.
 
mapenz kizunguzungu babu anajua kutunza vijana wanasumbua ati
 
alivyoshika hiyo nyundo nahisi anatoa onyo kwa vichche wanaofuatilia mali zake.
 
Duh!!!
Aseeee.......wazee wa hivyo wanapiga wake za watu hao......hapo kijijini anaweza akawa amekula wanawake wote.
 
mzee kama huyu ukimkuta na demu wako utafanyaje?
 
Picha ya long time sana humu anyway old is gold!!!
 
Haaaaha!! hivi babu anajua picha yake ipo jf! hz picha wanaopigwa sijui huwa wanafahamu dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…