LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,223
wadau nimekumbwa namajanga kwenye memory card zile kubwa ambazo huwazinakuwa kwenye digital camera sasa mm yakwangu niyakwenye diagnosis machiney.
hiyo memory card kwapembeni kuna kama kijiswitch hivi ukipeleka juu inakuwa haisomi na ukishusha chini ndio inasoma.ni kama vile adapter.
sasa swali langu kubwa kile kiswitch kinafanyaje kazi?? inakuwaje kuwaje mpaka ukipeleka juu memory card haisomi na ukishusha chini inapiga kazi kama kawa??
mm nishakipoteza hicho kiswitch niliweka memory card mfukoni kuitoa sikioni kuchomeka memory card kwenye mashine haisomi??
hiyo ndio shida yangu kuu.